TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, August 1, 2013

KUNA ULAZIMA GANI KUWA NA WACHEZA VIDUKU KATIKA TAARABU?

Hili ni swali ambalo nimekuwa nikiulizwa sana na mashabiki na wapenzi wa taarabu kila ninapo kutana nao taarabuzetu.blogspot.com ikaamua kulileta suala hili mezani kweni mashabiki ili kila mwenye upeo alidadavue anavyoweza. 

Ni kweli bendi nyingi za Taarabu wanakuwa na wacheza show wa viduku! Ni kweli tunakwenda na wakati lakini je huo wakati ni lazima viduku? Enzi ya Siti binti Saad alikuwa anaimba chumba cha peke yake huku kakaa katika mkeka na nyimbo zake ni nzuri zinapendwa hadi, lakini leo hii mpaka waimbaji wenyewe wanakatika, hii imekaaje jamani!?

0 comments:

Post a Comment