TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, August 12, 2013

KING'S MODERN TAARABU, WAMERUDI LEO JIJINI...



Bendi ya King's Modern Taarabu imerudi leo baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu mkoani morogoro.
Mrisho Rajabu.

Akizungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com Rais wa bendi hiyo Mrisho Rajabu B.S.S alisema kwamba bendi yake imemaliza vyema kabisa ziara hiyo ambayo ilikuwa ni maalum kwa sikukuu za IDD-ELFITR. 

Siku ya IDDI mosi walipiga mikumi,
Siku ya IDDI pili walipiga Mkamba na 
Siku ya IDDI tatu walimalizia Kilosa 

"Tunashukuru Mungu show zote zilikuwa nzuri sana na watu walijitokeza kwa wingi sana kwa niaba ya uongozi mzima wa Kings tunapenda kuwashukuru mashabiki wote waliojitokeza!"..

0 comments:

Post a Comment