TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, July 30, 2013

BENDI YA G5 MODERN IKIWA KAMBINI IKIFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA SIKUKUU ZA IDD...

Wasanii wa G5 wakiwa Mazoezini.
Wanamuziki wa kundi la G5 Modern Taarabu wapo kwenye mazoezi makali wakijiandaa kwa Show mbalimbali watakazozifanya katika sikukuu ya Idd baada ya mfungo wa Ramadhani.

Mwandishi wa mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com alitembelea mazoezi hayo na kupata ratiba kamili ya Show...!!

Ratiba kamili ni hii:-

*** Idd Mosi - Watakuwa IKWETA GRILL - Mtoni kwa Azizi Ally.
*** Idd Pili - Watakuwa SIHA RESORT - Kitunda.
*** Idd Tatu - Watakuwa KALEMBO HALL - Buguruni.

Wapenzi wote wa Taarabu mnaombwa kuhudhulia ili kufurahia vitu tulivyoviandaa kwa ajili yenu. Alisema Mmoja wa wasanii Samira Rajabu.

Shaibu Bass akifanya mambo yake...
Ni katika Mazoezi.



Zulfa Omary (Kidoti), Hadija Osman (Kimiss) na Aisha Kulele wakiwa mazoezini...
Hassan Voucher akiimba...
Hasna Juma (Masauti) na Zulfa Omary (Kidoti)
Mhina Panduka (Toto Tundu), Akiingiza sauti...
Dullah Keyboard akifanya mambo...
Wasanii wakishow Love, full peace!!
Samira Rajabu (Cute Sammy).
Aisha Masanja...!!! Alikuwepo kwenye Mazoezi.
Prince Mauzo, akifanya yake...
Said Mpiluka (Chinga One), Hapo akisababisha...

0 comments:

Post a Comment