TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 22, 2013

MZEE YUSUPH:- ALBAM ITAKAYO FUATA SITOIMBA MAPENZI TENA...!

 Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarabu Mzee Yusuph amesema kwamba kwa sasa amejipanga kutoka kivingine zaidi katika nyimbo zake. kwani mashabiki wamezoea kusikia nikiimba nyimbo za mapenzi lakini sasa nitabadili mahadhi na maudhui ya mashairi nitakayoimba, alisema mzee Yusuph. katika albam hii mpya iliyopo sokoni kwa sasa  kaimba wimbo usemao "Wasiwasi wako ndio maradhi yako" ambao ni wa mapenzi pia. katika siku za hivi karibuni amekuwa na upinzani katika uimbaji na Omary Tego mkurugenzi wa Coast Taarabu mpaka mashabiki kusema wanaimbana!

0 comments:

Post a Comment