TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 8, 2013

SALHA ABDALLAH, AINGIA MITINI ONYESHO LA KING'S KIMANZICHANA!!.

Msanii mpya wa King's Modern Taarab ya jijini Dar. Salha Abdallah, ameshindwa kutokea katika onyesho lake la kwanza kabisa ndani ya bendi hiyo. Akizungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com msanii mmoja wa King's ambae hakupenda kutajwa jina lake alisema kwamba Salha alipopigiwa simu ya kuambiwa kuja ktk show alijibu kwamba hakuambiwa mapema juu ya show hiyo kwahiyo hajajiandaa kwa chochote na show hiyo ya kimanzichana. Mmmh! Huyo ndio Salha Abdallah msanii mpya kabisa wa King's Modern Taarab.