TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Tuesday, July 16, 2013

SIKIA HII... NAOGOPA SANA PAKA KULIKO MBWA - OMARY TEGO!!

Omary Tego
Nguli wa muziki wa taarabu Tanzania na mkurugenzi wa Coast modern Taarabu Omary Tego amefunguka na kusema kwamba katika maisha yake anamuogopa sana paka kuliko mbwa.

Aliyasema hayo mbele ya mwanahabari wa taarabuzetu.blogspot.com, alifafanua kwamba paka amekuwa akitafsiriwa vibaya mitaani kwamba kwa kiasi kikubwa amekuwa akitumika katika mambo mengi ya kishirikina jambo linalonifanya nimuogope sana, kwani mimi na mambo hayo ndumba tofauti kabisa kabisa ndugu yangu.

Huyo ndio Omary Tego the Specialy one mkurugenzi wa Coast modern Taarabu ya jijini Dar!. Eti anaogopa paka!!.