TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, July 28, 2013

MAUA TEGO, AOMBA RADHI MAFANS WA "taarabuzetu.blogspot.com".

Maua Tego

Msanii Maua Tego ameamua kuwaomba radhi wapenzi wa musiki wa Taarabu na wadau wa mtandao huu kwa habari aliyoitoa hivi karibuni kwamba, nyimbo yake mpya itakwenda kwa jina la "GAME IS OVER" na sasa kabadili jina la wimbo wake huo ili kwenda sambamba na maudhui haswa haswa ya kitaarabu zaidi. "Unajua ndugu mwandishi sasa hivi kila mtu akitoa wimbo wake mpya anaupa jina la kiingereza, sasa mimi baada ya kukaa na uongozi pamoja na Director wangu Thabit Abdul kwa pamoja tukaamua kubadili jina la wimbo huo". 

Alipoulizwa Thabit Abdul ambae ndio Director mkuu wa 5 Star's kwa sasa, alisema ni kweli tumeamua kubadili jina la wimbo huo na hivi karibu tutaingia studio kuurekodi, wadau wote wakae mkao wa kusubiria burudani ya wimbo mkali nawaahidi kwasababu mashairi yenyewe yamekaa vizuri sana, wataipenda...

0 comments:

Post a Comment