TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Saturday, July 27, 2013

SHANGWE ZA IDDI:- MASHAUZI CLASSIC KUKATA KIU YA WAKAZI WA MIKOANI...!!.

Waimbaji wa kundi la Mashauzi Classic
 Bendi ya Mashauzi Classic Modern Taarabu yenye maskani yake jijini Dar maeneo ya Hananasifu Kinondoni, inatarajia kufanya show katika mikoa ya Morogoro, Mbeya na Songea ndani ya shangwe za Iddi. 

Akizungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com msanii wa kundi hilo Hashim Saidi alisema, tumejiandaa kufanya makubwa sana katika ziara hiyo na tunawaomba wakazi wa mikoa hiyo na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi. Amesema ratiba kamili itatangawa kadri muda unavyosogea.

Hivi karibuni Mashauzi Classic imetambulisha nyimbo zake mbili mpya ni nyimbo nzuri.

0 comments:

Post a Comment