TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, July 5, 2013

Karibu sana katika Blog hii...

Taarabu ni mziki wa Tanzania wenye mahadhi ya Mwambao, ni mziki mzuri sana ukiusikiliza na kuchukua point zake.

Taarabu ni mziki wa Tanzania kwa watu wote, kwani unapendwa na watu wengi Duniani, kwa Kusikiliza msg yake, Kucheza au kuufurahia tu midundo na uimbaji wake

Blog hii itakuwa inakuletea story za Taarabu pamoja na wasanii kwa ujumla, tuwe pamoja, utuunge mkono mdau katika suala lolote lihusianalo na Taarabu.

Nawakaribisheni, karibuni sana!!!