TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, July 21, 2013

KING'S MODERN TAARAB, YAIBOMOA FUNGA KAZI MODERN TAARABU...

King's Modern Taarabu.
Wakati wanatangaza kuhama bendi ya King's na kujiunga na Funga kazi, walikuwa watatu yaani Wahda Dadi, Mariam wa Mbezi na bibie Fatma Yasini. Waliongea maneno mengi sana juu ya bosi wao Majaliwa kupitia vyombo mbali mbali vya habari. lakini jana Jmosi ktk kipindi cha taarabu redio Passion FM kilicho tangazwa nae Nyawana Kais Mussa. alisikika Fatma Yasin ktk interview akimuomba msamaha bosi wake Majaliwa na kumuomba amrudishe tena kundini. na kwa uungwana wa Majaliwa alipopigiwa simu LIVE alikubari kumsamehe,

Fatma Yasin sasa ndani ya King's Modern Taarabu kwa makamuzi yaleyale...

0 comments:

Post a Comment