TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, July 26, 2013

SIKIA HII... YOUNG HASSAN ALLY, SASA NI "MR PENDWAPENDWA".

Hassan Ally
Alipotunga shairi la "Bonge la bwana!" ilionekana kufanana na wimbo wa Hashim Saidi wa Mashauzi ndipo Hassan Ally alipobadili muelekeo na sasa yupo katika maandalizi ya wimbo wake mpya uitwao "Mr Pendwapendwa". wimbo ambao ataurekodi katika bendi yake ya King's Modern Taarabu. 

Hassan aliuambia mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com kwamba anategemea katika wimbo huo kinanda apigiwe na Mzaka Nundu, besi atapiga Silver Mundele na solo gitaa atapiga Mfaume. "Wimbo huu nimetunga mwenyewe na muziki nimeweka mwenyewe pia. nawaambia mashabiki wasubiri kupata kitu kizuri zaidi".

0 comments:

Post a Comment