TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, July 21, 2013

MAPE KIBWANA ATOKA MAFICHONI NA KUSEMA HAYA...

Mape Kibwana.
Msanii wa zamani wa Dar Morden Taarabu, Mape Kibwana ameibuka mafichoni na amezungumza na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com na kusema kwamba alikuwa kimya kwa muda mrefu akiusoma kwa makini muziki wa taarabu ili atakaporudi afanye mambo makubwa zaidi.

Alipokuma Dar Modern Taarabu, Mape aliimba wimbo wa "Matawi ya juu". aliongeza kwamba kwa sasa ana mipango ya kurekodi wimbo wake binafsi ambapo atalitaja jina la nyimbo hiyo pindi atakapomaliza kazi ya kurekodi, lakini pia anasema milango ipo wazi kwa bendi yoyote itakayomtaka kujiunga nayo yupo tayari ila ni lazima maongezi yafanyike na wakubaliane.

0 comments:

Post a Comment