TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Saturday, July 27, 2013

HAMMER Q! ARUDI TENA... SAFARI HII NI "RELAX HONEY" NDANI YA 5 STAR'S!

Hammer Q.
 Muimbaji wa kiume wa 5 Stars Modern Taarabu Hammer Q, yupo katika hatua za mwisho kumalizia wimbo wake mpya uitwao RELAX HONEY! akiwa ndani ya bendi yake hiyo. 

Akizungumza na mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com Director wa bendi hiyo Thabit Abdul alisema nimeamua kuibadili 5 Stars ili iondokane na ule uzamani na ifanye mambo kisasa zaidi, nilianza na wimbo wa Mwamvita Shaibu uitwao HABARI YA MJINI, nikafuatia na wimbo wa Maua Tego GAME IS OVER na sasa namleta Hammer Q na wimbo RELAX HONEY, Nyimbo hizo zote nimetengeneza mimi kila kitu.

0 comments:

Post a Comment