TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 22, 2013

RAMADHAN KISOLO:- SINA MKATABA NA MASHAUZI, KOKOTE NIPO TAYARI KWENDA!!


Unapozungumzia wapiga solo maarufu kwa sasa katika tasnia ya muziki wa Taarabu nchini Tanzania ni lazima ulitaje jina la "Ramadhani Kisolo" kwa sasa yupo na Mashauzi Classic, lakini anasema hana mkataba nao na ana uhuru wa kwenda bendi yoyote ile ambayo watampa mkataba na maslahi mazuri. "Unajua ndugu mwandishi, mimi muziki ni kazi yangu inayo niweka mjini, kwahiyo ni lazima niwe makini sana ili niweze kuyamudu maisha ya hapa". alimaliza kwa kusema.
Kisolo alishawahi kupigia Dar Modern, Singer Taarabu, Coast Taarab, Supershine na Mashauzi ambapo hadi leo yupo.

0 comments:

Post a Comment