TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, July 25, 2013

MAZOEZI YA ABDUL MISAMBANO YAPAMBA MOTO...

Abdul Misambano
Msanii nguli na mwenye historia ya aina yake katika Taarabu hapa Tanzania Abdul Misambano amekuwa akiendelea na mazoezi ya nguvu katika kuandaa nyimbo zake mbili matata, mazoezi hayo ambayo yamekuwa yakifanyika katika ukumbi wa Iqueta Grill Mtoni kwa Azizi Ally yamekuwa gumzo na kujaza watu wengi wanaokuja kumuona Misambano.

Nyimbo ambazo anatengeneza Misambano ni "Sio mimi ni moyo" na nyingine inaitwa "Ngoma chini" ambayo ipo katika style ya sebene Taarabu, wasanii ambao wanakuja katika mazoezi hayo ya ni Saidi Mpiluka, Hemed Omary, Hamadi Besi, Mabomba na Kisila
Abdul Misambano na Mabomba
Hemedi Omary
Saidi Mpilu - (Chinga-One)



0 comments:

Post a Comment