TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 8, 2013

DAH! SIKIA HII... MARIAM WA B.S.S. MUIMBAJI WA 5STARS MODERN TAARAB NAE AOLEWA!!.

Mariam wa BSS
Msanii wa 5Stars modern taarab ya jijini dar Mariam B.S.S jana jumapili Julai, 7, 2013, amefunga pingu za maisha na kufanya idadi ya waimbaji wa taarabu nchini Tanzania kuongoza kwa kuolewa hususani ndani ya mwezi huu karibu na Ramadhani. 

Wengine walioolewa ni Thania - muimbaji wa mashauzi classic na Mwanahawa Chipolopolo wa King's Modern Taarabu zote za jijini Dar. 

Kama ilivyo kawaida ya mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com tunatoa pongezi kwa wasanii hao wote kwa pamoja. Wajiandae kuwapikia futari na uji waume zao kwa raha zao!.