TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, July 21, 2013

JUMANNE ULAYA:- MIMI NDIO MPIGA GITAA LA SOLO BORA KATIKA TAARABU NCHINI ...

 Msanii wa 5Starz na mpiga gitaa la solo ktk bendi hiyo Jumanne Ulaya "J4" amejinasibu na kujigamba kwamba yeye kwa sasa ndio mpigaji bora wa chombo hicho cha muziki wa taarabu Tanzania.

Ameyasema hayo wakati anazungumza na mwandishi wa mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com walipokutana ktk msiba wa Juma Mgunda mwishoni mwa wiki hii.
J4 aliendelea kuongea na kuonesha kujiamini na kazi yake, aliomba kwa kusema:- "Ajitokeze mdhamini ili aweke mpambano wa wapiga solo uone nitakavyo wagalagaza, sina mpinzani kwa sasa na hakuna anae nifikia!". J4 pia aliwahi kupigia bendi za Jahazi na T Motto huko nyuma!!.

0 comments:

Post a Comment