TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, July 19, 2013

Wasanii mbalimbali wamuaga Juma Mgunda...

Baadhi ya waombolezaji katika msiba wa msanii Juma Mgunda wa Jahazi.
Ramadhani Kisoro wa Mashauzi naye alikuwepo pamoja na ...!!!???
Marehemu Juma Mgunda alifariki tarehe 17 July akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua kikuu na kuzikwa tarehe 18 July maeneo ya Mkamba wilaya ya Mkuranga.
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.