TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Wednesday, July 24, 2013

G5 MODERN TAARABU, SIKU YA IDDI MOSI KUWASHA MOTO IQUETA GRILL....

 Bendi mpya ya Taarabu ya G5 Modern Taarabu ambayo ilitambulishwa rasmi siku ya tarehe 7/07/2013 pale katika ukumbi wa Iqueta Grill, Mtoni kwa Azizi Ally.

Mkurugenzi wa G5 Modern amesema bendi yake inatarajia kufanya show ya nguvu sana katika shangwe za IDDI ndani ya ukumbi wao wa nyumbani wa Iqueta Grill Mtoni, akizungumza na mtandao makini wa taarabuzetu.blogspot.com Mkurugenzi wa bendi hiyo Hamisi Slim alisema wamejipanga vyema katika kuwapa burudani wakazi wa Mtoni na vitongoji vyake siku hiyo ya IDDI Mosi. 
Hao ndio G5 Modern Taarabu yenye maskani yake maeneo ya Mtoni kwa Azizi Ally Dar.

0 comments:

Post a Comment