TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 22, 2013

ABDUL MISAMBANO AANZA RASMI LEO MAANDALIZI YA NYIMBO ZAKE 2 KALI..


Muimbaji mwenye historia ya pekee ktk taarabu nchini tanzania, Abdul misambano leo jumatatu anaanza rasmi maandalizi ya kutengeneza nyimbo zake 2 matata sana, nyimbo hizo ambazo ameamua kuziimba nje ya bendi yake ya TOT ili kukamilisha albam yake binafsi ni "sio mimi ni moyo" na "ngoma chini style". wapiga vinanda atakaowatumia ni Mbange na Mabomba toka TOT, Mpiga solo ni Saidi mpiluka na besi ni Side james wote toka TOT. Aliuambia mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com kwamba ameamua kuwatumia wapigaji hao coz wanajua sanaaaa

0 comments:

Post a Comment