TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, July 26, 2013

WAPENZI WA TAARABU NCHINI, WAIFANANISHA 5 STAR'S NI KAMA SIMBA AU YANGA...

5 Stars Modern Taarabu.
Bendi ya 5 Stars imebarikiwa kuwa na kikosi imara kilicho sheheni wasanii lukuki tena wenye vipaji vikubwa jambo linalopelekea wasanii wengine kutosikika kama alivyo katika bendi nyingine. 

Wakiongea na mtandao wa taarabuzetu.blogspot.com wapenzi kadhaa walimtolea mfano mpiga kinanda machachali Yusuph Tego ambaye alikuwa akitegemewa sana kwa kupiga kinanda wakati yupo Coast Modern Taarabu, lakini tokea ameingia 5 Stars hajapiga kinanda hata wimbo mmoja katika kurekodi jambo waliloliita ni kumshusha kiwango chake buree msanii huyo.

0 comments:

Post a Comment