TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Saturday, July 27, 2013

RAMADHAN KISOLO:- MIMI NI BORA ZAIDI KATIKA GITAA LA SOLO KULIKO JUMANNE ULAYA!.

Ramadhani Kisolo.
 Kuna msemo wa wahenga usemao siku zote kila muwamba ngoma huvutia kwake!, hii limedhihirika katika habari hii ya Ramadhan Kisolo "mwana malui" pale alipojinasibu kuwa yeye ni bora zaidi katika gitaa la solo kuliko huyo Jumanne ulaya au J4. 
Unajua nilishangazwa na ile habari aliyosema kwamba yeye nibora zaidi kuliko sisi! sikweli kabisa!. Labda aseme kama ni ukongwe katika muziki sawa! lakini nakataa kuwa yeye ni bora kwenye upigaji wa chombo hiki ambacho hata mimi napiga pia, aliendelea kusema kuwa mimi Kisolo nimefanya nyimbo nyingi pia. "J4" ni wakawaida tu!.

0 comments:

Post a Comment