TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Monday, July 22, 2013

MWAMVITA SHAIBU WA 5 STARS, AJA NA "HII NDIO HABARI YA MJINI".......

Mwamvita Shaibu
 Muimbaji wa siku nyingi wa bendi ya 5 Star's Modern Taarabu Mwamvita Shaibu ameibuka na wimbo mpya matata sana uitwao "Hii ndio habari ya mjini". Wimbo huo ambao umetungwa nae Thabit Abdul, muziki umewekwa nae Thabit Abdul, kinanda kimepigwa na Thabit Abdul, besi gitaa kasimama mkubwa Rajabu Kondo, solo kapiga Jumanne Ulaya "J4" ukiusikia huwezi kuamini kwamba hiyo ni ile 5 Starz iliyozoeleka!. sifa zimuendee Director Thabit Abdul kwani kafanya kazi kubwa sana katika wimbo huo.
Wimbo umeanza kupigwa jana na Nyawana Kais katika kipindi ya Ambaa na Mwambao Passion FM.

0 comments:

Post a Comment