TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Sunday, July 7, 2013

Arobaini ya Mume wa Hadija Kopa ni Tarehe 13/07/2013.

Hadija Kopa na Marehemu Mumewe enzi za Uhai wake.
Malkia wa Mipasho nchini Tanzania Hadija Omary Kopa ambaye yupo nyumbani kwake Bagamoyo kwa sasa, amezungumza na Mtandao wa Taarabuzetu.blogspot.com ili kuwaomba watanzania kufika katika kumalizia msiba wa mpendwa Mumewe kwa kisomo cha arobaini itakayofanyika Tarehe 13/07/2013 Nyumbani kwake Bagamoyo mtaa wa Magomeni mkoani pwani.

Hadija Kopa alifiwa na Mumewe kipenzi Jafary Ally mwezi wa Sita, 2013 na kuzikwa huko Bagamoyo.