TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Thursday, July 25, 2013

KIFO CHA JUMA MGUNDA, SITOKISAHAU MAISHA!!...

Shomari Zizzou au "Babu".

Marehemu Juma Mgunda.

Msanii wa zamani wa Jahazi Modern Taarabu Shomari Zizzou au "Babu" amesema kifo cha msanii mwenzie Juma Mgunda! kinamuuma sana na kitaendelea kumuuma daima. 

Unajua Juma alikuwa ni mtu wangu wa karibu sana na nilikuwa namchukulia kama mdogo wangu haswa na kipindi tulipokuwa pamoja pale Jahazi ndio ukaribu ulipozidi shida na matatizo yake alikuwa ananishirikisha mimi nami nampa ushauri, nakumbuka siku moja wakati tumemaliza show pale Bagamoyo ndipo mzee Yusuph aliitisha kikao na kutuambia, mimi, Juma Mgunda na Mwanne Othman kwamba bendi basi!, ilituumiza sanaa.

Mungu amlaze mahali pema peponi ndugu, rafiki na mwanamziki mwenzetu Juma Mgunda. Amen.

0 comments:

Post a Comment