TANGAZA NASI

Kiatu Media

Feedjit

Friday, July 26, 2013

HUU NI UJIO MPYA WA MAUA TEGO, AJA NA KIBAO KIITWACHO "GAME IS OVER"...

Maua Tego
 Muimbaji wa 5 Star's Maua Tego, yupo katika hatua za mwisho kumalizia wimbo wake mpya kabisa ndani ya bendi yake ya 5 Stars uitwao "GAME IS OVER" utunzi wake Thabit Abdul ukipenda muite "Jiko la jela". 

Thabit amesema kuwa wimbo huo ni wa mipasho ambao unazungumzia jinsi mwanamke alivyo mdhibiti mwanaume wake baada ya kuachana na mwanamke wa kwanza!, "Ni wimbo mzuri sana ambao naamini wadau wakiusikia wataupenda".

Ikumbukwe kwamba Maua Tego hakuwahi kuimba nyimbo ya mipasho hata moja tokea yupo Coast!. hebu tusubiri kuisikia itakuwaje!.

0 comments:

Post a Comment